Holo

Inakujia hivi karibuni

 

MoMEC hivi karibuni kwa kushirikiana na waigizaji wa PACESHI imemaliza kutegeneza filamu fupi ya mafunzo kuhusu Holo. Holo anakatishwa masomo na kulazimishwa kuolewa na mzee. Baada ya kupata ukatili kwenye ndoa, mume anafariki na kumuacha na watoto bila msaada.

Hadithi inaonesha jinsi mtoto mdogo wa kike anaoolewa na kufiwa akiwa hana nguvu za kujitetea dhidi ya manyanyaso anayopata. Wito kwa jamii kukomesha ndoa za watoto