
Chozi La Binti Kibena
Migogoro ya kifamilia kati ya Mzee kibena Na mkewe,inazima ndoto za binti yao wa pekee (Tunu). Tunu anafanyiwa ukatili wa kijinsia,anabakwa na Mwalimu Patwa na kukatishiwa masomo, anaolewa angali mtoto mdogo, na kujikuta akiingia katika ndoa ya kulazimishwa akiwa mtoto, ndoa yenye migogoro na manyanyaso. Jitihada za Mwalimu Chamoto, kumuokoa Tunu zinakwama. CHOZI LA BINTI KIBENA ni kauli mbiu kwa jamii, familia, walezi, wazazi na kila mmoja wetu, mwanamke na mwanamume kukomesha ndoa za utotoni.
Hadithi imeadikwa na Amani Masuka na Dr Monica Magoke-Mhoja, japo ni hadithi ya kufikirika lakini ina sehemu za matukio ya ukweli kutoka kwenye utafiti wa Dr Monica Magoke-Mhoja.
Nunua DVD na saiia MoMEC kuedeleza kampeni ya kukomesha ukatili kwa watoto.
Angalia onyesho fupi (trailer) rasimi la filamu ya Chozi la Binti Kibena

Jipatie nakala yako ya filamu ya 'Chozi la Binti Kibena'
Unaweza kupata DVD sehemu mbalimbali Tanzania na Uingereza. Wasiliana na watu wafuatao kupata nakala yako.
Arusha
Eliya 0717759044
Dodoma
Ruth - 0783879661
Morogoro
Hancy - 0717363639
Shinyanga
John (PACESHI) - 0789781581
Mwanza
Ukerewe
Meshack - 0784691180
TANZANIA
Dar es Salaam
Kitunda
Ester - 0758718892
Temeke
Irene - 0713068705
Ukonga
Emmanuel - 0655464147
Oysterbay
Leah - 07133408800
Tabata
Moses - 0719956363
Boko
Elizabeth - 0655442543
Chanika
Mashauri - 0715811952
UNITED KINGDOM
Chelmsford, Essex
Jessica - (+44) 7438784196
Edinburgh
Mercy - (+44) 7501780465