1/3

MoMEC ni taasisi isiyo ya kiserikali, isiyofungamana na chama chochote, isiyogawana faida inayotumia sanaa kuelimisha kuhusu ukatili wa kijinsia, haki za kisheria na binadamu.  Kwa sasa kati ya mikakati yake  imejikita katika kutokomeza ndoa za utotoni.

"Kuelimisha, kuhamasisha na kuwajengea uwezo wanawake na wanaume kupinga ukatili wa kijinsia, ukiukwaji wa sheria na haki za binadamu kwa kutumia sanaa zenye kuelimisha na kuburudisha"

Angalia nafasi mbalimbali za kujitolea na kutunisha mfuko zilizoko kwenye kituo cha MoMEC

 

Kuwajengea uwezo watoto walioolewa wakiwa wadogo  

"Nikiwa na miaka 14, niliolewa na mwanaume aliyekuwa ananizidi umri mara mbili ya umri wangu. Maisha yangu yalikuwa magumu ya shida sana."

 

Changia mtoto/watoto walioachishwa elimu na kulazimishwa kuolewa na sasa wanarudi shule mkoani Shinyanga

 

MoMEC News

KOMESHA NDOA KWA WATOTO

Kwa mwaka mmoja sauti ya wana MoMEC imesikika sehemu mbalimbali za Tanzania kama inavyooneshwa katika ramani

"Nilikuwa mjamzito lakini mume wangu alikuwa akinifanyia ukatili mbaya wa kijinsia."