
Isadie MoMEC kukomesha
ndoa za kulazimishwa na ndoa za utotoni.
Shirki Sasa
Huyu ni Maria.
MoMEC inategemea sana chngizo na utunishaji wa mfuko wake kupitia mauzo ya DvD za kuelimisha ili kusaidia wahanga wa doa za utotoni kwenye kituo cha Agape Shinyanga.
Elimu inaweza kusaidia mabinti wakatokana na umasikinia, ndoa za utotoni na kujikwamua kiuchumi.
Tafadhari changia leo na uweze kumsaidia mhanga wa ndoa za utotoni ili awe na maisha bora.
Saida Kuchangia Mtoto Wa Kike Mmoja
CHANGIA
Ungana nasi kutuchangia ili tuwasaidie wahanga wa ndoa za utotoni . Unaweza kusaidia kutekeleza dhamira ya MoMEC kwa kutoa mara moja au kuwa mbia wetu kwa kusaidia kila mwezi elfu Tano au elfu Kumi na Tano kwa mwezi.
Unataka kusaidia mara moja tu, hilo ni jema pia.
Unakaribishwa sana.
Chochote utakachotoa kitamsaidia mhanga kujiedeleza na kuodokana na ukatili na umasikini.
Elfu Tano kwa mwezi
inatosha kugharamikia matumizi kama ya madaftari, unifomu na matumizi binafsi.
Elfu Kumi na Tano kwa mwezi
inatosha kumlipia ada yake ya mwaka zima na mahitaji yake yote.
Unaweza kutuma mchango kupitia Benki au Malipo ya Moja kwa Moja
Taarifa za Benki
Benki: Exim Bank Tanzania Ltd
Branch: 014 Nyerere Branch
Jina la Akaunti- Dr Monica Mhoja Edutainment Centre (MOMEC)
Namba ya akaunti: TZS 0140010891
Swift Code: EXTNTZTZ
Jiunge nasi
NAFASI ZA KUJITOLEA
Je unataka kuleta mabadiliko ya watoto wa kike Tanzania?
Kuna njia nyingi sana unazoweza kuwasaidia wahanga wa ndoa za utotoni. Kutunisha mfuko sehemu uliyopo, kushiriki kusambaza kazi za sanaa za MOMEC.
Unakaribishwa kutoka sehemu yoyote duniani, wasiliana nasi kujua ni kwa njia gani unaweza kushiriki katika kukomesha doa za utotoni.
Tusaidie
NUNUA DVD
ZETU
Jipatie nakala yako ya CHOZI LA BINTI KIBENA leo au fulana ya MOMEC
Sehemu kubwa ya faida itokanayo na mauzo ya DVD na vitu vingine vinakwenda kusaidia elimu ya wahanga wa ndoa za utotoni.