Momec Watembelea Wadau Wao wa Agape

Baada ya uzinduzi wa filamu fupi ya SAUTI YA KUNESE, wawakilishi wa MoMEC walitembelea AGAPE na kuona shule inayojengwa maeneo ya Chibe na mabweni ya wasichana. MoMEC walitoa sehemu ya ada kwa ajili ya watoto wawili Pili na Leokadia walioolewa na wakatelekezwa na sasa wamerudi shuleni. MoMEC inawashukuru sana wadau wake wanaojitolea kusaidia watoto walio katika mazingira magumu kama walioolewa na kuachika au kutelekezwa na kurudi shule.

PICHA KATIKA MAENEO YA AGAPE

Featured Posts
Recent Posts
Archive