MoMEC Watembelea Wadau wa PACESHI

Tukitembelea wadau wa PACESHI Shinyanga kwa pamoja tunasema HAPANA KWA NDOA ZA UTOTONI na kutoa wito kwa walezi, wakwe, mashemeji kukomesha.ukatili kwa #Watoto Wajane #SautiYaKunese

Featured Posts
Recent Posts
Archive